HAZINA

 

Benki ya Access Microfinance Tanzania inawakaribisha wateja wetu wapendwa, watu binafsi na taasisi mbalimbali kuja kujionea huduma za wateja zinavyotolewa kwa haraka na kwa ufanisi kutoka kwa timu yetu maalum ya hazina. Benki ya Access Microfinance inatoa miamala ya kubadilisha fedha za kigeni, masoko ya fedha na huduma zingine za hazina.

Kwa maelezo zaidi jisikie huru kuwasiliana na timu yetu ya hazina kwa namba +255 658 370 684 au unaweza kutembelea moja ya tawi letu.