MATAWI YETU

 

Benki ya Access Microfinance Tanzania ina matawi manane makubwa yaliyoenea nchini kote katika mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Tabora, Kahama, Iringa na Mbeya.

 

SAA ZA KAZI (Tuko wazi)

 

Jumatatu hadi Ijumaa (Saa 02:30 Asb – Saa 10:00 Jioni)

Jumamosi (Saa 02:30 Asb – Saa 6:00 Mchana)

Tunafunga Jumapili na Siku za Sikukuu.

 

Tawi la Lumumba (Kariakoo) Saa za Kazi

Jumatatu hadi Ijumaa (Saa 02:30 Asb – Saa 2:00 Usiku)

Jumamosi (Saa 02:30 Asb – Saa 8:00 Mchana)

Tunafunga Jumapili na Siku za Sikukuu.

 

  1. 1. Tawi la Kijitonyama, Derm House, New Bagamoyo Rd. Kijitonyama (Mkabala na Kijiji cha Makumbusho)
  2. 2. Tawi la Temeke, Temeke (Mkabala na Hospitali ya Wilaya ya Temeke), Mtaa wa Temeke, Dar es Salaam
  3. 3. Tawi la Lumumba, Summit Tower, (Mkabala na Mnazi Mmoja), Barabara ya Lumumba, Dar es Salaam
  4. 4. Tawi la Kahama, Barabara ya Isaka, karibu na soko la wakulima na kituo chetu maalumu la mikopo ya kilimo Kahama (Jengo la NSSF)
  5. 5. Tawi la Tabora, Barabara ya Jamhuri road, Jengo la NSSF
  6. 6. Tawi la Pamba rd – Mwanza kwenye jingo la Kishimba
  7. 7. Tawi la Mbeya – Mbeya (Mafiati) Mkabala na TIA na kituo chetu maalumu cha mikopo ya kilimo – kilichopo Mlowo – Barabara ya Tunduma (Mbeya)
  8. 8. Tawi la Iringa – Mjimwema