Akaunti ya Mikakati

 

Akaunti ya Mikakati ni Mpango wa Akiba unaokuwezesha kukusanya pesa ili kufikia malengo kibinafsi na ya kifedha.

Mikakati ni kwa watu binafsi, vikundi au wafanyabiashara wanaotaka kukusanya akiba kwa muda mrefu.

Faida zilizopo ni pamoja na:

 

  • 1. Kiwango cha chini cha kufungua akaunti ni shilingi 20,000 (Akaunti za Dola ya Marekani/Euro USD20/EURO20)
  • 2. Kiwango cha chini cha uendeshaji akaunti ni shilingi 20,000
  • 3. Kutoa pesa bure mara moja kwa mwezi
  • 4. Kiwango cha riba cha kuvutia cha hadi 5%,
  • 5. Hakuna ada ya makato ya mwezi
  • 6. Chaguo la mpango wa kuweka akiba,
  • 7. Kuweka pesa ni bure katika  (Matawi yetu, AccessMobile, na Access WAKALA.)