Akaunti Ya Baraka Junior 

 

Baraka ni akaunti ya mtoto ambayo imeundwa ili kumsaidia mtoto wako kuweka akiba kwa ajili ya siku zijazo kwa kumsaidia tu kuokoa kila shilingi kidogo anayopata kuanzia umri mdogo. Fungua Akaunti ya Baraka Junior na ujenge maisha ya baadaye ya mtoto wako. Akaunti ya Baraka Junior inatumika kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 0-18.

Faida Zake

 

  • Hakuna kiwango cha chini cha kufungua akaunti
  • Kutoa pesa ni bure kwenye kaunta
  • Hakuna ada ya mwezi
  • Kiwango cha riba hadi asilimia 4
  • Taarifa moja bure ya benki kwa mwezi