Akaunti Ya Nufaika

 

Akaunti ya Nufaika huwapa wateja huduma zote za Benki ya Access Microfinance inazopaswa kuzitoa kwao, ikiwa ni pamoja AMBT ambayo ni uhamishowa fedha baina ya benki na benki na vile vile uhamisho wa kitaifa na kimataifa. Akaunti ya Nufaika inaweza kufunguliwa kwa shilingi ya Kitanzania au Dola ya Marekani.

Akaunti ya Nufaika Inalenga wafanyabiashara wadogo hadi ya Kati, Vilabu, Mashirika (NGOs) n.k.

Faida Zake

 

  1. Kiasi cha kufungua akaunti TZS 50,000/-
  2. Gharama nafuu za uendeshaji.
  3. Toa pesa BURE mara moja kwa mwezi.
  4. Toa pesa kupitia Wakala au AccessMobile.
  5. Akaunti inaonganishwa na simu.
  6. Huduma ya kuhamisha fedha (benki kwenda benki)
  7. Taarifa ya akaunti BURE mara moja kwa mwezi.