RAHISI “Inawezeshwa na AccessMobile”

 

Akaunti ya RAHISI ni akaunti ambayo imejikita mahsusi kuwapa wateja wote uzoefu mpya kabisa wa huduma zisizo na kikomo kupitia simu zao za mkononi.

RAHISI inalenga kuwa bidhaa ya msingi kwa watu binafsi na vikundi kukidhi mahitaji yao ya miamala, kama vile kutuma au kupokea malipo kutoka kwa marafiki, familia na biashara, kama vile kulipa bili, kununua salio katika simu na mengine mengi.

RAHISI pia huhudumia watu binafsi na kikundi au wafanyabiashara wadogo ambao wanataka njia rahisi sana ya kutumia pesa zao kupitia akaunti zao za benki.

Faida Ya Akaunti

 

 • Kiwango cha chini cha kufungua akaunti ni shilingi 10,000
 • 2. Kuna ada ya kutumia akaunti kila mwezi
 • 3. Kadi ya ATM
 • 4. Inaweza kuunganisha Akaunti kwenye Mobile banking  (AccessMobile)
 • 5. Kuhamisha pesa (uhamisho wa ndani kwenda na kutoka kwenye akaunti ya benki, Mpesa, Airtel money, Halopesa na Tigo pesa)
 • 6. Kulipa bili (Luku, Dawasco, DSTV, TRA, PPF, PSPF,NHC, TANESCO, Precision Air na vingine vingi)
 • 7. Usimamizi wa fedha (kuangalia salio & taarifa fupi)
 • 8. Kuongeza muda wa maongezi (Vodacom, Airtel, Tigo, Zantel au Halopesa)
 • 9. Malipo ya Serikali (GepG kwa lipa namba)
 • 10. Malipo ya MasterCard QR (kulipa kwa kuskani code ya QR au namba ya biashara)
 • 11. Kuweka na kutoa pesa kwa Wakala wa Access nchi nzima