MAADILI YETU

Tuna lengo moja rahisi  – kuwahudumia wateja vyema.

U – Uwazi

M – Mawasiliano ya wazi

M – Mwelekeo wa Utendaji

K – Kutokuwa na Ubaguzi

W – Wajibu wa jamii

U – Ulinzi wa Mazingira