Kuhusu AccessMobile
Unaweza kupiga *150*43# ili kupata menyu na kuanza miamala yako ya kibenki popote ulipo Tanzania au pakua App ya Access Mobile (kupitia Playstore) na uanze kufanya miamala yako ya kibenki popote pale ndani na nje ya Tanzania. Kupitia AccessMobile utafurahia huduma nyingi za benki kama vile:
- Kutuma pesa kwenda TigoPesa, Mpesa, Airtel Money, Halopesa na EazyPesa
- Kulipa bili mbalimbali (Luku, MasterCard QR, DAWASCO, DSTV, Malipo ya Serikali n.k)
Faida za kutumia Access Mobile
- Pesa yako ina ulinzi na iko salama (Usalama daraja la kibenki)
2. Huduma za kibenki ni saa 24 kwa siku
3. Kutoa pesa kwenye akaunti yako kwa wakala wa Access au wakala wa mitandao ya simu (TigoPesa, M-Pesa, Airtel money, Eazy Pesa na HaloPesa)
4. Kuangalia salio la akaunti
5. Malipo ya bili (Umeme, DSTV, Dawasco, TRA, NSSF, PSPF, Tanesco postpaid n.k)
6. Pata taarifa fupi za akaunti yako (Miamala 10 iliyopita)
7. Ongeza muda wa maongezi (Tigo, Vodacom, Airtel, Zantel, TTCL na Halotel)
8. Hamisha pesa kutoka kwenye akaunti yako kwenda akaunti nyingine au kwenda mtandao wowote (M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money, EazyPesa na HaloPesa)
9. Malipo ya TRA, Precision Air n.k.