Huduma za ATM

 

Benki ya Access Microfinance Tanzania inatoa huduma za ATM kupitia mfumo wa mtandao wa Umoja Switch. ATM zote za Benki ya Access Microfinance Tanzania za Umoja Switch zinatumia VISA na Kadi za UnionPay.

 

Kwa ATM za Umoja wateja wetu wanaweza kupata yafuatayo:

 

  • 1.  ATM zinapokea kadi za VISA
  • 2. Kadi zetu za ATM za debit zinatumia teknolojia ya EMV chip
  • 3. Pata huduma zote zinazopatikana kutoka mtandao wa ATM wa Umoja unaosambazwa kote Tanzania.
  • 4. Toa pesa taslimu kutoka ATM ya Umoja saa 24 kwa siku, siku saba kwa wiki
  • 5. Kuangalia salio na taarifa fupi za kibenki,
  • 6. Uhamisho – mmiliki wa kadi mwenye akaunti.
  • 7. Kuhamisha pesa kwa wasio na kadi (kutuma pesa) –Mwenye kadi/mteja wa benki anaweza kuhamisha fedha kwa mtu ambaye si mteja wa benki, ambazo ni M-Pesa na Airtel kutoa pesa kwenye ATM za Umoja.